#Local News

UPINZANI: SERIKALI INAWAFADHILI WAHUNI

Viongozi wa muungano wa upinzani wameibua madai kwamba makundi ya wahuni yanapangwa na serikali kwa lengo la kuvuruga mikutano yao, wakionya kuwa huenda makundi hayo yakalitumbukiza taifa kwenye vurugu.

Wakiwa kwenye ziara katika kaunti ya Kajiado, viongozi hao wakiongozwa na Rigathi Gachagua wa DCP wamedai kuwa makundi hayo yanafadhiliwa na wizara ya usalama wa kitaifa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *