#Local News

UHABA WA MAFUTA WAVURUGA USAFIRI

Shughuli za uchukuzi zimeendelea kutatizika katika maeneo mbali mbali kutokana na uhaba wa mafuta ambao umesababisha kufungwa kwa vituo kadhaa vya kuuza mafuta.

Kupitia taarifa, muungano wa wasafirishaji nchini umeonya kuwa huenda uhaba huo ukasambaratisha uchukuzi, huku wakenya wakiishinikiza serikali kuweka wazi hali halisi ya kiwango cha mafuta nchini.

Serikali imeshikilia kuwa kuna akiba ya kutosha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *