MBUNGE KIARAHO KUZIKWA IJUMAA
Mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho ameratibiwa kuzikwa hii leo katika eneo la Tigoni kaunti ya Kiambu ambako hafla ya mazishi inaendelea.
Naibu Rais Kithure Kindiki ni miongoni mwa viongozi wakuu serikalini wanaohudhuria hafla ya mazishi ya mbunge huyo ambaye ameombolezwa kama mvumilivu na mwenye bidi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































