MAN U MBIONI KUTAFUTA USHINDI DHIDI YA LEEDS
Manchester United wapo mbioni kujiweka katika nafasi nzuri watakapomenyana na Leeds United kwenye uwanja wa Old Trafford.
Mechi ya mkondo wa kwanza iliishia sare ya bao 1-1 united wakiwa chini ya Ruben Amorim lakini wameonyesha mchezo mzuri chini ya Kocha wa Muda Michael Carrick na sasa timu hiyo inatazamiwa kupata ushindi.
Ushindi kwa united kutawaweka nafasi nzuri wakiwa alama tatu mbele ya Aston Villa walio nafasi ya nne huku Leeds wakipaginia nafasi ya kutoshuka daraja kwani ushindi kwao utawaweka alama sita mbele ya Nafasi ya Kumi na Nane Tottenham Hotspurs.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































