KPL YAENDELEA LEO ULINZI IKILENGA KUJIKWAMUA
Ligi kuu ya soka nchini KPL inaendelea hii leo kwa mechi za katikati ya wiki, ambapo mechi moja imeratibiwa kusakatwa. KCB FC watalenga kupata ushindi katika mechi 2 mtawalia baada ya kusuasua, watakapomenyana na Ulinzi Stars majira ya saa kumi alasiri. Kwa upande wao, Ulinzi watalenga kupata ushindi wa kwanza katika mechi 3 baada ya […]
English 




































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































