#Local News

WAKENYA WALAMIKA KUTOKANA NA GHARAMA YA MAFUTA

Huku Serikali ikipunguza ushuru wa VAT hadi asilimia Nane na kupunguza bei ya mafuta hapo Jana, maoni tofauti yameibuliwa kutoka sekta mbali mbali.

Wananchi wamesema kuwa mikakati iliyochukuliwa na serikali hapo jana bado haitoshi huku wakitaka serikali kuchukua hatua zaidi na kupunguza bei ya mafuta.

Aidha, wamesema kuwa hali hiyo itaathiri vikubwa maisha ya kawaida wa wakenya huku wakihofia kugharimika zaidi wakati shule zinapofunguliwa wiki ijayo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *