#Local News

USAMBAZAJI WA DAWA ZA KUKABILI HIV WAANZA

Hatimaye wizara ya afya imezindua usambazaji wa dawa za Lenacapavir za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI, zilizowasili nchini wiki jana.

Dawa hiyo inayolenga kuzuia maambukizi mapya nchini, inatolewa kama chanjo mara 2 kwa mwaka kwa wakenya walio katika hatari ya kuambukizwa.

Zoezi hilo linaoongozwa na Waziri wa afya Aden Duale.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

USAMBAZAJI WA DAWA ZA KUKABILI HIV WAANZA

SAKAJA MBELE YA SENETI KUELEZA MKATABA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *