#Rugby #Sports

SHUJAA WAJIANDAA KWA FAINALI ZA HONG KONG SEVENS

Kikosi cha shujaa, kikiwa na makamu wa nahodha Samuel Asati, kinaamini kuwa uthabiti wa akili na kuboresha ujuzi msingi wa michezo itakuwa muhimu wakati Shujaa wanapojiandaa kwa Michuano ya Dunia ya Hong Kong Sevens ndani ya wiki mbili zijazo.

Timu hiyo ina muda mfupi wa maandalizi, baada ya kurejea nchini Alhamisi na kuanza mazoezi keshoKocha mkuu, Kevin Wambua, ameweka msisitizo wa azimio, akitambua kiwango cha juu kinachowasubiri wachezaji huko Hong Kong.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *