#Local News

SERIKALI YAPITISHA UNUNUZI WA VITABU GREDI YA KUMI NA MOJA

Katibu Mkuu wa Elimu ya Msingi Julius Bitok ameidhinisha Taasisi ya Kitaifa ya Ukuzaji Mitaala kukamilisha mchakato wa ununuzi wa vitabu vya gredi ya kumi na moja chini ya mtaala unaolenga umahiri wa mwanafunzi.

Katika waraka uliotumwa kwa Mkurugenzi Mkuu Charles Ong’ondo, wizara imeeleza kuwa mchakato wa zabuni umekamilika na kinachosalia ni kutangaza walioteuliwa pamoja na ambao hawakufaulu.

Hatua hiyo inafuatia mawasiliano ya awali kutoka wizara ya elimu, yakiwemo barua ya waziri kwa chama cha wachapishaji vitabu nchini, ikisisitiza dhamira ya serikali ya kuhakikisha uwazi katika ununuzi wa vitabu vya shule huku Waziri huyo akisema.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

SERIKALI YAPITISHA UNUNUZI WA VITABU GREDI YA KUMI NA MOJA

WALIMU WAKOSOA MFUMO WA SHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *