USIMAMIZI WA JKUAT, KU WAFIKA MBELE YA PIC
Usimamizi wa vyuo vikuu vya JKUAT na Kenyatta umekuwa na wakati mgumu kueleza jinsi fedha zilitumika vyuoni humo mbele ya kamati ya uwekezaji katika bunge la kitaifa, ubadhirifu wa fedha kwenye vyuo vikuu vya umma ukitajwa kuwa kikwazo kikuu katika uboreshaji wa vyuo hivyo.
Kamati hiyo inayoongozwa na mbunge wa Bumula Jack Wamboka, imeshinikiza uwazi katika matumizi ya fedha hizo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































