#Local News

ODPP AIDHINISHA TALAM NA WENZAKE KUSHTAKIWA KWA MAUAJI

Washukiwa 6 wanaohusishwa na kifo tata cha mwalimu Albert Ojwang sasa watashtakiwa kwa mauaji baada ya mamlaka ya ipoa kupata idhini ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ODPP.

Sita hao akiwemo Ocs wa kituo cha polisi cha central Samson Talam wanatarajiwa sasa kuwasilishwa katika mahakama ya Kibera kusomewa mashtaka dhidi yao.

Afisi ya ODPP imeafikia uamuzi huo baada ya kubuni kundi la viongozi wa mashtaka waliokagua faili zilizowasilishwa na mamlaka ya Ipoa.

Imetayrishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *