KOOME AJITENGA NA KUAGIZA MASHTAKA YA UGAIDI
Jaji mkuu Martha Koome anasema itakuwa jukumu la mkurugenzi wa mashtaka ya umma na uchunguzi unaoendeshwa na polisi kubaini iwapo waandamanaji waliokamatwa baada ya watafunguliwa mashtaka ya ugaidi au la.
Akiongea huko Mombasa Koome anasema matamshi aliyoyatoa baada ya kutembelea mahakama ya Kikuyu iliyoteketezwa hayawezi kutumika kuwafungulia wahusika mashtaka ya ugaidi.
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































