WAHADHIRI WA VYUO VIKUU WAMEKATAA KUSITISHA MGOMO WAO
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa vyuo vikuu na wahadhiri UASU na kusu wamesema kuwa mgomo wao unaendelea hadi pale serikali itakapo walipa pesa wanazodai .
viongozi hao wametoa tangazo hilo baada ya kukosa kuafikiana kwenye mkutano wao na serikali, na mgomo huo ukiendelea kwa siku 45 sasa wanafunzi wakitishia kuandamana kote nchini
Kwa mujibu wa mkataba wao wa makubaliano ni kwamba wahadhiri wanaidai serikali shilingi bilioni 7.9.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































