#Local News

UMEME KUKATIKA KAUNTI YA NYERI

Kampuni ya kusambaza umeme nchini  imetangaza kukatika kwa umeme hii leo katika sehemu tofauti za kaunti ya Nyeri kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.

Baadhi ya maeneo yatakayo athirika ni  gachatha, wamagana, na kariguini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *