#Local News

WAMALWA AZUNGUMZIA VIFO KITENGELA

Kiongozi wa Chama cha DAP Kenya, Eugene Wamalwa, amesema watu wawili walifariki na takribani Wakenya 50 kujeruhiwa wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi uliofanyika Kitengela.

Akizungumza katika mkutano na wanahabari Wamalwa ameeleza masikitiko yake na kudai kuwa kulikuwa na matumizi ya nguvu kupita kiasi.

Aidha, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuingilia kati akisema kuna ongezeko la ukatili wa polisi katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kuwa tete.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

WAMALWA AZUNGUMZIA VIFO KITENGELA

LIZ ANDIEGO AINGIA NGUMI ZA KULIPWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *