#Football #Sports

DE ZERBI MBIONI KUIKWAMUA SPURS

Mashindano ya EPL yanarejea mwishoni mwa wiki baada ya mapumziko ya wiki tatu, yakiwa na mechi kali katika mbio za ubingwa, nafasi za Ulaya na kuepuka kushuka daraja.

Arsenal wataikaribisha Bournemouth wakitafuta kujiimarisha zaidi kileleni, huku Manchester City wakitarajiwa kusafiri kucheza dhidi ya Chelsea katika pambano lingine kali.

Liverpool wataikaribisha Fulham huku kocha Arne Slot akihitaji ushindi muhimu, na Tottenham Hotspur wakimteua Roberto De Zerbi kuiongoza timu katika juhudi za kujinusuru kushuka daraja watakapomenyana na Sunderland.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *