#Local News

OBURU ATOA KAULI KUHUSU MAFUTA

Serikali imeendelea kushinikizwa kutafuta mbinu mbadala ya kupunguza bei ya mafuta nchini ambayo imehofiwa kuongeza mzigo wa gharama ya maisha kwa wakenya.

Kiongozi wa chama cha ODM Oburu Oginga, ameihimiza serikali kutenga fedha zitakazofanikisha ruzuku ya mafuta na kupunguza ushuru wa thamani ya ziada, VAT.

Kauli yake imesisitizwa na gavana James Orengo na mbunge Ndindi Nyoro.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *