WATU WATANO WAFARIKI DUNIA BUNGOMA

Watu watano wamefariki dunia baadaa ya jumba kuporomoka kaunti ya Bungomana huku wengine kadhaa wakihofiwa kukwamba ndani ya vifusi vya jengo hilo.
Jumba hilo lilikuwa likibomolewa na serikali ya kaunti ya Bungoma kutoa nafasi ya upanuzi wa uwanja wa Masinde Muliru.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































