WAWAKILISHI WADI NYAMIRA WASHINIKIZA NYONGEZA YA MGAO WA KAUNTI

Mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kaunti ya Nyamira George Abuga amewaongoza wawakilishi wadi kwenye kaunti hiyo kushinikiza nyongeza ya mgao kwa kaunti ili kufanikisha miradi ya maendeleo.
Viongozi hao wamesema kucheleweshwa kwa mgao huo ambao pia wanasema hautoshi, kumefanya kaunti nyingi kusalia nyuma kimaendeleo.
Tayari bunge la kitaifa limetupilia mbali pendekezo la seneti kuongeza mgao wa kaunti.
Imetayarishwa na: Antony Nyongesa
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































