UHABA WA CHANJO KATIKA HOSIPITALI ZA UMMA
Tatizo la Uhaba wa chanjo katika hosipitali za umma limeendele kushika kasi huku wazazi wakilazimika kurejea nyumbani na wanao bila kupata huduma chanjo.
Wazazi hao wameeleza kuwa hatua hiyo huenda ikaadhiri wanao iwapo wizara ya afya haitashughulikia swala hilo kwa haraka.
Imeteyarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































