#Local News

WACHENI KUWAUA WATOTO WETU; WAVINYA NDETI

Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amewaonya wahuni wanajifanya kuwa waandamanaji wa gen-z kwa lengo la kutekeleza mauajai na uhalifu.

Ndeti amesikitishwa na wahuni hao ambao wamekuwa wakiwaangaisgha watu mitaani

Imetyarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *