YEGO HAJAKATA TAMAA
Julius Yego alisema kumaliza kwenye jukwaa kwenye michezo ya olimpiki kutakuwa na manufaa katika maisha yake baada ya kutatizika kufuzu kwa michezo ya mwaka huu.
Yego alilazimika kusubiri hadi dakika za mwisho ili kujipatia nafasi katika michezo yake ya nne ya olympiki huku akikiri kuwa alikuwa amekata tamaa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































