CBC INA DOSARI, IONDOE – GAVANA NATEMBEYA
Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya amependekeza kufutiliwa mbali kwa Mtaala wa elimu Unaozingatia Umahiri CBC huku akiibua wasiwasi kuhusu athari zake kwa mustakabali wa wanafunzi.
Natembeya amesema wazazi, wanafunzi na wadau wengine wa elimu wanaonekana kutoelewa mtaala huo wa CBC.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































