#Local News

FISADI HAWANA BAHATI, WAZIRI AONYA

Waziri mteule katika wizara ya kilimo Andrew Karanja ameonya kuwakabili watu fisadi kwenye wizara hiyo iwapo ataidhinishwa kuhudumu kama Waziri ili kuimarisha sekta hiyo ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa Kenya.

Akijibu swali lililoibuliwa na mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed kuhusu jinsi akavyowakabili matapeli kwenye sekta ya kahawa, miwa na hata majani chai, Karanja amesema atakuwa akiweka mbele maslaha ya wakenya katika maaumuzi yake yote.

Kuhusu suala lililoibua mjadala nchini la kuwauzia wakulima mbolea ghushi, Karanja ameonya kuwakabili wafanyabiashara walaghai endapo uteuzi wake utaidhinishwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

FISADI HAWANA BAHATI, WAZIRI AONYA

DUALE AKANA KUWAATISHIA WANAJESHI

FISADI HAWANA BAHATI, WAZIRI AONYA

KVA YAISUTA SERIKALI YA NAKURU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *