#Local News

KAUNTI YA TRANSNZOIA YAHIMIZWA KUJENGA KITUO CHA WAGONJWA WA SARATANI

Serikali ya kaunti ya transnzoia imehimizwa kuwekeza pakubwa katika uhamazishaji ,ukaguzi na matibabu ya mapema dhidi ya saratani.

Jambo hilo ni la kusikitisha kuona wakaazi wa kaunti hiyo wanaougua ugonjwa huo wanaangaikia matibabu ya saratani ambapo wanalazimika kusafirisha wagonjwa hadi jijini nairobi na kaunti zingine.

Imetayarishwa na Janice Marete

KAUNTI YA TRANSNZOIA YAHIMIZWA KUJENGA KITUO CHA WAGONJWA WA SARATANI

JULIUS YEGO AZIDI KUFANYA VYEMA

KAUNTI YA TRANSNZOIA YAHIMIZWA KUJENGA KITUO CHA WAGONJWA WA SARATANI

MPANGO WA KUPASUA SHIRIKA LA RELI LA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *