OMBI LA KUBATILISHA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LIMEWASILISHWA MAHAKAMANI
Ombi limewasilishwa mahakamani kupinga uteuzi wa Makatibu 19 wa Baraza la Mawaziri walioapishwa jana Alhamisi.
Katika stakabadhi za mahakama Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KHRC) na Wanjiru Gikonyo, wanataka mahakama kubatilisha uteuzi wa Makatibu 19 wa Baraza la Mawaziri kwa misingi minne ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji wa Bunge, ushirikishwaji ipasavyo wa umma na kuongeza kuwa mchakato.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































