HAKI KWA DAISY WAWERU
Familia moja inatafuta haki baada ya binti yao mwenye umri wa miaka 24 amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya nne huko ngong kaunti ya Kajiado.
Uchunguzi wa maiti unaonyesha kuwa msichana huyo kwa jina Daisy Waweru alifariki kutokana na majeraha mengi kichwani ,kifuani na tumboni yanayokisiwa kuwa alipigwa kwa kifaa butu
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































