#Local News

KDF: HATUPEANI AJIRA

Jeshi la Kenya la ulinzi limeonya umma dhidi ya kuhadaiwa na tangazo ghushi kuhusu ajira katika jeshi
KDF imejibu tangazo lililotolewa mitandaoni kwamba wizara ya ulinzi inaajiri wafanyikazi kuanzia agosti 26.

Grace Mwanja mkurugenzi msaidizi wa mawasiliano katika wizara ya ulinzi amesema kuwa KDF haijatangaza wala haifanyi zoezi lolote la kuajiri kwa wakati huu.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *