#Local News

WAKAAZI WA TRANSNZOIA WANUFAIKA NA MRADI WA MAJI

Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti ya Transnzoia baada ya Gavana wa kaunti hiyo George Natembea kuwahakiishia kuwa kampuni ya kusambaza maji itaboreshwa hata zaidi ili kusambaza maji kwa wakaazi wote.

Kulingana na natembeaya wakati wa wateja wa maji kulimbikiziwa bili za maji umepita na kwamba kila mmoja atalipa kulingana na matumizi yake.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKAAZI WA TRANSNZOIA WANUFAIKA NA MRADI WA MAJI

KUPPET KWALE;HATUENDI SHULE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *