NAIBU KAMISHINA WA KAUNTI YA BUNGOMA ATWIKA AFISI YAKE JUKUMU LA KUSAJILI WATU KWA SHA
Afisi ya naibu kamishina wa kaunti ya Bungoma Abdi Mahamud imejitwika jukumu la kuwasajili wakazi wa kaunti ya Bungoma katika bima mpya ya afya SHA.
Wakazi wa kaunti ya Bungoma wamehimizwa kujisajili katika bima hiyo kwa manufaa yao binafsi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































