#Local News

WABUNGE WAPUUZA UAMUZI WA MAHAKAMA DHIDI YA KENYA KWANZA

Baadhi ya wabunge wamepuuza uamuzi wa mahakama uliovua Kenya Kwanza hadhi ya chama chenye wingi bungeni, wakisema hauna athari yoyote.

Mbunge wa Ugenya, David Ochieng, anasema uamuzi huo hauna maana kwa kuwa mabadiliko ya kisiasa tayari yamefanyika na Bunge linafaa kushughulikia mvutano huo.

Mwakilishi wa Wanawake wa Laikipia, Jane Kagiri, kwa upande wake amesema kuwa vyama vingi vimejiondoa kwenye muungano wa Azimio baada ya uchaguzi wa 2022, hivyo Kenya Kwanza itapinga uamuzi huo huku Mbunge wa Eldas, Adan Keynan, akiibua madai kwamba uamuzi huo ni njama ya kisiasa dhidi ya serikali na kwamba Kenya Kwanza ilitangazwa kuwa wengi kwa misingi ya mwelekeo wa kisiasa kabla ya uchaguzi wa Spika Moses Wetangula.

Imetayarishwa na Janice Marete

WABUNGE WAPUUZA UAMUZI WA MAHAKAMA DHIDI YA KENYA KWANZA

SERIKALI YAKAZA KAMBA DHIDI YA KLINIKI NA

WABUNGE WAPUUZA UAMUZI WA MAHAKAMA DHIDI YA KENYA KWANZA

BANDARI YOUTH FC MABINGWA WA COAST BINGWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *