EACC: UFISADI UNAZIMA NDOTO ZA VIJANA NCHINI

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC, imetoa onyo kwamba ufisadi unaathiri kwa kiwango kikubwa vijana nchini, ikisema athari zake zinapunguza fursa muhimu za maendeleo kwa kizazi hicho. Takwimu mpya zinaonyesha kuwa utoaji hongo na matumizi mabaya ya fedha za umma vinaendelea kudhoofisha nafasi za elimu, ajira na mifumo ya usaidizi wa kifedha, hali […]

KANG’ATA AWATAKA WAKENYA KUKATAA SIASA ZA MGAWANYIKO

Viongozi wa kisiasa wamewataka Wakenya kususia siasa za kugawanya taifa na badala yake kuhimiza umoja na ustawi wa pamoja. Akizungumza katika hafla ya mchango eneo la Seme, kaunti ya Kisumu, gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata amesema siasa za uchochezi wa kikabila zimeendelea kudhoofisha maendeleo katika maeneo mengi nchini. Kang’ata amesisitiza kuwa wakati umefika kwa wananchi […]

AMORIM: UNITED KUIMARIKA ZAIDI SIKU ZIJAZO

Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema kikosi chake kimeimarika pakubwa baadaya kurejea katika kinyang’anyiro cha kufuzu Ligi ya Mabingwa kufuatia ushindi wa 4–1 dhidi yaWolves.United ilirekebisha makosa ya sare ya kuwakatisha tamaa dhidi ya West Ham wiki iliyopita,ikiongozwa na nahodha Bruno Fernandes aliyefunga mabao mawili katika mchezo uliochezwaMolineux.Mabao mengine ya United yalifungwa na Bryan […]

PALMER KUTOCHEZA DHIDI YA ATALANTA

Mshambulizi wa Chelsea, Cole Palmer, hatashiriki mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Atalanta hukukocha Enzo Maresca akitaka kummudu kwa uangalifu kutokana na historia yake ya majeraha.Maresca alithibitisha kuwa Palmer ameachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Bergamo kama sehemuya mpango wake wa kurejea katika hali kamili baada ya kukaa nje kwa takriban miezi miwili. AwaliPalmer […]

EDMUND SEREM KUANGAZIA HESHIMA YA KIMATAIFA

Mshindi wa medali ya shaba ya dunia katika mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji, EdmundSerem, anaamini umaarufu wake mpya katika majukwaa ya kimataifa utampa msukumo muhimukuelekea msimu wa 2026 ambao anatarajia kuutawala.Serem alitunukiwa tuzo ya World Athletics Rising Star of the Year wikendi iliyopita, kutambuamsimu wake bora wa 2025 uliodhihirisha ustahimilivu, maendeleo na […]

SICHENJE: TUJIPANGE AFCON MAPEMA

Beki wa kati wa Harambee Stars, Collins Sichenje, anasema Kenya inapaswa kuelekeza malengo yakemoja kwa moja kwenye kufanya vyema katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 badala yakujifungamanisha na makosa ya zamani.Mashindano hayo ya bara la Afrika yatakayohusisha Kenya, Uganda na Tanzania kama wenyeji,yanatazamwa kama fursa adimu kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa kitovu cha […]

MILIMU ASEMA LEOPARDS WANA UWEZO WA KUBEBA TAJI

Aliyekuwa Meneja wa AFC Leopards, Joseph Milimu, ameitaka klabu hiyo yenye mataji 12 ya ligikuanza kujiamini kuwa ina uwezo wa kutwaa ubingwa wa KPL msimu huu.Milimu amesema ushindi wa 1-0 wa Ingwe dhidi ya Gor Mahia katika Mashemeji Derby ulikuwatamko la nia, akisisitiza kuwa kikosi cha kocha Fred Ambani kina msingi madhubuti wa kuanza kupatamatumaini […]

NTSA YAFUTILIA MBALI LESENI ZA MADEREVA 62

Mamlaka ya kitaifa inayosimamia usalama barabarani NTSA imefutilia mbali leseni za madereva 62 kutoka kampuni 7 za magari ya uchukuzi wa umma baada ya ukaguzi uliobaini kuwa madereva hao wamekiuka sheria za usalama. Kupitia taarifa, NTSA imesema madereva hao watahitajika kufanya majaribio mapya ya uendeshaji wa magari kabla ya kuamuliwa iwapo watarejeshewa leseni zao au […]

MAHAKAMA KUPATA MAMLAKA YA KUPINDUA MIKATABA YA KAZI KATIKA MSWADA MPYA 

Huenda mahakama zikapata mamlaka makubwa zaidi ya kuondoa kandarasi zisizo za haki na za upande mmoja iwapo Bunge litapitisha Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mikataba (Marekebisho) ya 2025. Mswada huo unalenga kuruhusu majaji kubatilisha au kurekebisha makubaliano pale ambapo upande mmoja haufai, na hivyo kuashiria mabadiliko kutoka kwa kanuni ya muda mrefu […]

MASWALI KUHUSU MAN UNITED

Katika mtindo wa hatua moja mbele, hatua moja nyuma, klabu ya Manchester United ilionyesha kuimarika ilipoicharaza Wolves mabao 4-1 katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza jana usiku ugani Molineux. Swali linaloulizwa ni iwapo ushindi huo ni mwamko mpya au ni kwa sababu walipata Wolves yenye masaibu chungu nzima ikiwa ya mwisho kwenye ligi hiyo […]