#Local News

MAANDAMANO YA MAFUTA YAPOA HUKU MVUA IKIDHOOFISHA USHIRIKI

Mwanasheria wa katiba na mshauri wa masuala ya uchumi Makau Mutua amechochea mjadala kabla ya maandamano ya kupinga bei ya mafuta kwa kauli yake akihusisha kupanda kwa bei hizo na changamoto za usafirishaji katika njia muhimu ya kimataifa ya mafuta

Maandamano ya vijana wa Gen Z jijini Nairobi hayakupata mwitikio mkubwa mapema baada ya mvua kunyesha na kupunguza idadi ya waliojitokeza mitaani

Ni kundi dogo tu la wanaharakati vijana lililoonekana likiandamana baadhi wakipeperusha bendera ya taifa huku maafisa wa polisi wa kutuliza ghasia wakifuatilia hali kwa karibu wakijiandaa kuchukua hatua endapo kutatokea vurugu.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *