#Rugby #Sports

LIONESSES WAREJEA NCHINI

Kikosi cha timu ya taifa ya raga, Kenya Lionesses, kimerejea nchini katika uwanja wake wa mazoezi wa RFUEA kutoka nchini Uhispania, walikokuwa wakifanya mazoezi ya wiki moja kwenye maandalizi ya dimba la HSBC 7s Division 2 litakaloandaliwa tarehe 14 na 15 mwezi huu katika uwanja wa Nyayo.

Mkufunzi mkuu wa timu hiyo Simon Odongo, amesema vipusa hao wanaangazia pakubwa uwezo na mapungufu yao kabla ya mashindano hayo.

Timu hiyo itakuwa na kibarua cha kutetea fahari ya taifa inapokuwa wenyeji wa mashindano hayo ya HSBC 7s Division 2.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

LIONESSES WAREJEA NCHINI

KAGAME AITAKA RWANDA ‘KUJITEGEMEA’

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *