#Local News

GACHAGUA: MAANDAMANO YA MAFUTA BADO JUMANNE

Muungano wa upinzani nchini umesisitiza kuwa maandamano ya kitaifa yalioratibiwa kufanyika hapo kesho kuishinikiza serikali kupunguza bei ya mafuta yangalipo.

Ukiongozwa na kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, muungano huo umesema lengo la maandamano hayo ni kulalamikia gharama ya juu ya maisha itakayochangiwa na bei mpya za juu za mafuta.

Aidha, amewahimiza vijana kusajiliwa kama wapiga kura.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: MAANDAMANO YA MAFUTA BADO JUMANNE

RUTO ATETEA BEI ZA JUU ZA MAFUTA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *