#Local News

TANZANIA YAMKOSOA RUTO KWA ‘KUWADOGOSHA’ MAJIRANI

Serikali ya Tanzania imepuzilia mbali kauli za Rais William Ruto kwamba Kenya ina barabara nyingi za lami ikilinganishwa na mataifa yote katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikisema kauli hizo ni za kudhalilisha.

Akitetea bei za juu za mafuta nchini ikilinganishwa na mataifa jirani, Ruto alisema kuwa Kenya ni nchi yenye kiwango cha kati cha uchumi, na kwamba majirani zake ni wa kiwango cha chini.

Hata hivyo, Waziri wa ujenzi wa Tanzania Abdallah Ulenga, amesema kauli hizo si sahihi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TANZANIA YAMKOSOA RUTO KWA ‘KUWADOGOSHA’ MAJIRANI

WALIMU WA JSS WATANGAZA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *