#Local News

RUTO: MUSEVENI TAYARI KUNUNUA HISA KPC

Serikali ya Kenya imetangaza mpango wa kuwekeza katika kiwanda cha kusafisha mafuta nchini Uganda kwa lengo la kuimarisha uchumi na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Akizungumza kwenye kongamano la kibiashara jijini Nairobi, Rais William Ruto amedai kwamba mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni, vile vile amejitokeza kuwekeza katika shirika la Kenya Pipeline licha ya bei ya juu ya hisa za shirika hilo.

Amewakosoa waliokuwa wakipinga uuazaji wa hisa za shirika hilo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *