#Local News

MKUTANO WA SHA, WALIMU WAZIMA MGOMO

Hatimaye tishio la mgomo wa walimu wa Junior Secondary kuanzia wiki ijayo limezimwa, kufuatia makubaliano baina ya walimu hao na mamlaka ya afya ya jamii SHA kutatua malalamishi ya walimu kuhusiana na matibabu chini ya bima hiyo.

Kwenye mkutano, SHA imetangaza kwamba itakuwa ikisimamia gharama zote za matibabu kwa walimu hao, ambao sasa hawatatoa fedha zozote mifukoni mwao kulipia ada za matibabu.

Muungano wa KUPPET sasa umewahakikishia wazazi kwamba shule zitafunguliwa jinsi ilivyopangwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MKUTANO WA SHA, WALIMU WAZIMA MGOMO

MASENETA WAITIA IPOA KIKAANGONI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *