#Local News

RUTO AWAKOSOA WANAOCHOCHEA UMMA

Rais William Ruto amewahimiza viongozi wa kisiasa kuwa mstari wa mbele katika kuimarisha mshikamano wa nchi, akiwataka wananchi kujitenga na viongozi wanaoeneza semi za ukabila.

Ruto amekariri kuwa serikali yake imejitolea kuimarisha sekta mbali mbali kama vile kilimo, elimu na afya tangu alipoingia mamlakani, kauli yake ikisisitizwa na naibu wake Kithure Kindiki.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AWAKOSOA WANAOCHOCHEA UMMA

UPINZANI WAELEKEA KWALE 

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *