#Football #Sports

ARNE SLOT AWEKA KIPAUMBELE MSIMU WA SASA

Kocha Arne Slot amesema bado anaangazia zaidi majukumu ya sasa huku akieleza kuwa anafikiria muda mfupi hadi wa kati na mrefu lakini kwa sasa akili yake ipo kwenye mechi ijayo dhidi ya Palace.

Slot amebainisha kuwa ingawa kuna mazungumzo kuhusu mipango ya msimu ujao bado hajaweka kipaumbele kikubwa huko akisisitiza umuhimu wa kumaliza msimu wa sasa kwa kiwango cha juu.

Kauli yake inaashiria kuwa anataka kuendelea kujikita katika matokeo ya timu yake kwa sasa huku masuala ya mustakabali wake yakisubiriwa hadi wakati muafaka utakapofika.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *