WANAOHODHI MAFUTA CHUMA MOTONI
Mamlaka inayodhibiti ushindani wa kibiashara nchini imezionya kampuni za uuzaji wa mafuta nchini dhidi ya kuficha mafuta hayo kwa matarajio ya kuuza kwa bei ya juu kutokana na uhaba unaoendelea kuripotiwa nchini. Kupitia taarifa, mamlaka hiyo imesema ina ufahamu kuhusu mjadala unaoendelea kuhusu uwepo wa mafuta ya petroli, diseli, mafuta ya taa na ndege kote […]
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































