ZICO AREJEA POSTA RANGERS
Kocha mkongwe Zedekiah Otieno ametambulishwa rasmi kama kocha mkuu wa Posta Rangers katika uwanja wa Chuo cha Ualimu cha Thogoto. Otieno, anayejulikana kama “Zico,” amejiunga na timu hiyo katika kipindi ambacho imekuwa ikipambana na ukosefu wa uthabiti licha ya kuanza vyema msimu. Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini, akiwa amewahi kuzifundisha timu kadhaa ikiwemo Gor Mahia […]
English 






























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































