RUTO AZINDUA UJENZI WA SOKO LA IKONGE, NYAMIRA
Shughuli za kibiashara katika eneo bunge la Mugirango North kaunti ya Nyamira zinatarajiwa kuimarika katika siku zijazo kufuatia uzinduzi wa ujenzi wa soko la Ikonge huku Rais William Ruto akisema shilingi bilioni 15 zimetengewa ujenzi wa masoko ya kisasa na nyumba za bei nafuu kwenye kaunti hiyo. Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































