GACHAGUA AWAHIMIZA VIJANA KUJIHAMI NA KURA
Huku zoezi la kitaifa la kuwasajili wapiga kura wapya likiendelea, vijana kote nchini wamehimizwa kujitokeza na kusajiliwa kwa wingi ili kuafikia mabadiliko ya uongozi ambayo wamekuwa wakishinikiza kupitia maandamano.
Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, amesema muungano wa upinzani unategemea idadi kubwa ya wapiga kura wapya kumbandua madarakani Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 
































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































