KENYA PIPELINE YALENGA KUFUZU HATUA YA MTOANO, KCB YAANZA KAMPENI CAIRO
Timu ya mpira wa wavu ya Kenya Pipeline inatarajiwa kufuzu hatua ya mtoano iwapo itapata ushindi wa tatu mfululizo katika mechi za awali za mashindano ya vilabu bingwa Afrika kwa wanawake. Pipeline, inayowania taji la bara kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20, itashuka dimbani saa kumi na mbili jioni kumenyana na timu ya La Loi […]
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































