KINDIKI ATOA HAKIKISHO KWA WAWEKEZAJI
Naibu Rais Kithure Kindiki amewahakikishia wawekezaji na wafanyabiashara katika sekta ya kibinafsi kwamba serikali imeweka mikakati ya kutosha kuhakikisha usalama baada ya uchaguzi mkuu ujao, na hivyo hapana haja ya kuhofia biashara zao.
Alikuwa akizungumza kwenye kongamano mja akiwahimiza wawekezaji kuwekeza katika nguzo kuu za serikali ambazo ni kilimo, kawi na miundomsingi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































