KRA YAPATA SH17.6BN KUONGEZA UKUSANYAJI WA USHURU
Serikali imetenga Sh17.6 bilioni za ziada kwa Mamlaka ya Ushuru (KRA) ili kuimarisha ukusanyaji wa ushuru na kupunguza utegemezi wa kukopa kwa umma. Ufadhili huo ni sehemu ya Makadirio ya Ziada ya I kwa mwaka wa kifedha wa 2025/2026, yaliyoidhinishwa na Rais William Ruto.Mgao huo unajiri huku KRA ikilenga kukusanya takriban Sh900 bilioni kufikia Juni 2026 ili […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































