OGAMBA: SERIKALI IMETATUA DENI LA WACHAPISHAJI VITABU
Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba amesema serikali imetatua mzozo wa deni la wachapishaji vitabu, hatua inayofungua upya mchakato wa uchapishaji na usambazaji wa vitabu shuleni. Ogamba amesema Wizara ya Fedha imetoa shilingi bilioni tano nukta sita, fedha zitakazowezesha kuendelezwa kwa shughuli za uchapishaji zilizokwama kwa muda. Waziri huyo ameongeza kuwa Wizara ya Elimu inatarajiwa […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































