UPINZANI: HATUNA IMANI NA IEBC
Baadhi ya wabunge wa upinzani wametishia kuwasilisha hoja bungeni kuishinikiza tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuweka wazi sajili ya wapiga kura ili kuzuia udanganyifu katika uchaguzi mkuu ujao.
Wakiongozwa na mbunge wa Kaiti Joshua Kimilu, wabunge hao wamepinga ripoti ya IEBC kwamba wapiga kura waliosajiliwa kabla ya mwaka 2012 watahitajika kujisajili tena.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































