#Local News

BINGWA SAWE AREJEA KWA MBWEMBWE

Shughuli za kawaida zilitatizika kwa muda katika uwanja wa ndege JKIA jana usiku wakati bingwa wa dunia katika mbio za marathon Sebastian Sawe kuwasili uwanjani humo kutoka London.

Sawe mwenye umri wa miaka 31 na mzaliwa wa Kijiji cha Ndonyongaria kaunti ya Nandi, alishangaza ulimwengu baada ya kuwa binadamu wa kwanza kukamilisha mbio hizo chini ya muda wa saa 2 Jumapili iliyopita.

Alipokelewa na maafisa wakuu serikalini akiwemo Waziri wa michezo Salim Mvurya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *